YESU SIO MPOLE KATIKA HAYA MNAYOFANYA MTALIPIA.
INJILI NI UPANGA
0:00 / 0:00
YESU SIO MPOLE KATIKA HAYA MNAYOFANYA MTALIPIA.
193 просмотра · 2 недели назад
INJILI NI UPANGA
224 подписчика
193 просмотра · 2 недели назад
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao unahusika katika haya mambo basi hakikisha umebadilika ki kweli kweli kabla muda haujapita na neema ya kristo kwako kupita maana mshahara wa dhambi ni mauti WARUMI 6:23 A, si hivyo tu YESU mwenyewe atajilipiza kisasi juu ya wote wasio sikia MIKA 5:15, WARUMI 12:19, WAEBRANIA 10:30, kwahyo kaa ukijua kwamba unapafanya uovu huo YESU mwenyewe hatakuonea huruma atakuharibu kama usipoacha na utalipia ukiwa hai kumbukumbu 28:15-54, haya ni baadhi ya mapigo unayoweza kupata ama ukalipia ukiwa umekufa ukaenda motoni lakini ukikubali ukampa Yesu maisha utaokoka WARUMI 1O:9 na atakusafisha nawe utafaidi mema duniani mfano ni haya KUMBU KUMBU 28:1-14, Na mbinguni utaingia kwa amani YOHANA 3:36, YOHANA 5:24. USHAURI MKIMILIA YESU HATA KAMA UNA HALI NGUMU ATAKUSAIDIA APO APO ULIPO NA UTASHINDA NA KUEPUKA UOVU