Перейти к содержимому

Ruto aeleza faida za kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Ruto aeleza faida za kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu

3 595 просмотров · 15 часов назад
Citizen TV Kenya
6,69 млн подписчиков
3 595 просмотров · 15 часов назад
Rais William Ruto ametetea mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta cha Lamu, akisema mradi huo utapunguza gharama ya kuagiza mafuta kutoka nje na kutoa ajira kwa zaidi ya watu 60,000. Rais Ruto, aliyekuwa katika ziara ya Kaunti za Kwale na Taita Taveta, pia aliwakosoa viongozi wa upinzani wanaopinga baadhi ya miradi ya maendeleo nchini, akiwataka Wakenya kupuuza upinzani huo. Emmanuel Too na mengi zaidi.