USIMKATAE – Yohana Antony | Official Video
Yohana Antony
0:00 / 0:00
USIMKATAE – Yohana Antony | Official Video
23 397 просмотров · 4 нед. назад
Yohana Antony
328 тыс. подписчиков
23 397 просмотров · 4 нед. назад
USIMKATAE – Yohana Antony | Official Video
“USIMKATAE” ni wimbo wenye ujumbe wa kugusa moyo unaohusu baba aliyekimbilia mjini na kumwacha na kumkataa mtoto wake. Kupitia wimbo huu, Yohana Antony anatoa wito wa upendo, msamaha na maridhiano, akimsihi baba huyo asimkatae mtoto wake, bali amkubali, ampende na kutimiza wajibu wake kama mzazi.
Msanii: Yohana Antony
Mawasiliano: +255 766 326 472
Studio: Gonge Production
Copyright Yohana Antony 2026