MASHAMBA MAKUBWA YA WAWEKEZAJI YASITISHA UWEKEZAJI ARUSHA,SABABU ZATAJWA
Millard Ayo
0:00 / 0:00
MASHAMBA MAKUBWA YA WAWEKEZAJI YASITISHA UWEKEZAJI ARUSHA,SABABU ZATAJWA
5 838 просмотров · 5 л. назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
5 838 просмотров · 5 л. назад
Wabunge wa kamati ya bunge ya bajeti wamefika Arusha kutembelea mashamba ya maua,mbogamboga na matunda ambayo yamesitisha uzalishaji na mengine yakiwa yanaendea ambapo mkurugenzi wa TAHA Jackline Mkindi,ameomba kuangaliw upya kwa mashamba hayo kwa kuwa watu wengi wamepoteza ajira na serikali kupoteza kodi