Перейти к содержимому

"KAMA UNASHINDWA KUMUHUDUMIA WAKATI WA UCHUMBA HUFAI KUMUOA" ASP KAYOMBO

Baharia TV

0:00 / 0:00

"KAMA UNASHINDWA KUMUHUDUMIA WAKATI WA UCHUMBA HUFAI KUMUOA" ASP KAYOMBO

119 просмотров · 2 дня назад
Baharia TV
106 тыс. подписчиков
119 просмотров · 2 дня назад
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP Christer Kayombo, akitoa semina kwa vijana wa Parokia ya Kizota na Parokia Teule ya Nzuguni katika Kanisa Katoliki la Viwawa, Kizota jijini Dodoma. ​Amewataka Vijana kuishi katika misingi ya kuzingatia maadili na kujifunza uwajibikaji kama kipimo sahihi kabla ya kuingia kwenye ndoa. #BahariaNews