Перейти к содержимому

Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Matoleo (Skiza 7482440)

Sauti Tamu

0:00 / 0:00

Nitakwenda Mimi Mwenyewe | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Matoleo (Skiza 7482440)

5 496 571 просмотр · 5 лет назад
Sauti Tamu
235 тыс. подписчиков
5 496 571 просмотр · 5 лет назад
Nitakwenda Mimi mwenyewe nikatoe sadaka kwa Bwana Aliyeniumba mimi hadi nikapendeza Kaniumba kwa mfano wake kuliko viumbe vingine na sasa nikatoe shukrani Mtunzi: I Myaga Mtayarishaji: Martin Mutua Munywoki Tazama pia Anayekula Mwili wako, Twimbe kwa shangwe na furaha, Nijaposema kwa Lugha, pamoja na Nimeahidi Yesu. Sasa zimo humu #SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa Nyimbo nyingine za sadaka maarufu ni pamoja na Wanameremeta (Bernard Mukasa) Nikupe Nini Mungu wangu cha kukupendeza, Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Vipaji hivi ni kama dhabihu, sadaka yangu kwako ee Mungu, Utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo, nitakwenda mimi mwenyewe na Sala yangu na ipae mbele yako