Перейти к содержимому

IBADA YA JUMAPILI - MAHUBIRI | MAOMBI NA MAOMBEZI | AUG 30, 2026 | SIKU YA MWANAMKE

FPCT Guluka Kwalala

0:00 / 0:00

IBADA YA JUMAPILI - MAHUBIRI | MAOMBI NA MAOMBEZI | AUG 30, 2026 | SIKU YA MWANAMKE

114 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
FPCT Guluka Kwalala
145 подписчиков
114 просмотров · Трансляция закончилась 2 недели назад
Karibu mpendwa kufuatilia moja kwa moja (LIVE) Mahubiri ya Neno la Mungu pamoja na Maombi na Maombezi kutoka hapa FPCT Guluka Kwalala. Leo ni Jumapili ya kwanza ya mwezi Septemba 2026. Ibada ya leo inaambatana na maadhimisho ya SIKU YA MWANAMKE - FPCT. Mungu analo la kusema nawe siku ya leo hivyo usikubali kupitwa na baraka hizi. Pia ikiwa unalo hitaji lolote, usiache ibada hii ikaisha bila kumkabidhi Bwana hitaji hilo kwani yeye hujishughulisha sana na mambo yetu. Usiache kutujulisha unatufuatilia kutoka wapi.