RUMEYSA na JYOTI: MWANAMKE MREFU na MFUPI ZAIDI DUNIANI—SIKU MREFU ANAPANDA NDEGE WATU WALISHANGAA
Global TV Online
0:00 / 0:00
RUMEYSA na JYOTI: MWANAMKE MREFU na MFUPI ZAIDI DUNIANI—SIKU MREFU ANAPANDA NDEGE WATU WALISHANGAA
6 555 просмотров · 1 год назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
6 555 просмотров · 1 год назад
RUMEYSA na JYOTI: MWANAMKE MREFU na MFUPI ZAIDI DUNIANI—SIKU MREFU ANAPANDA NDEGE WATU WALISHANGAA
Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza, na kutumia nafasi hiyo kuwahamasisha watu kote ulimwenguni kusherehekea tofauti zao za kimaumbile.
Rumeysa Gelgi, mwanamke mrefu kuliko wote duniani mwenye umri wa miaka 27, ni mtaalam wa masuala ya tovuti kutoka Uturuki, na Jyoti Amge, mwanamke mfupi kuliko wote duniani mwenye umri wa miaka 30, ni mwigizaji kutoka India. Wawili hao walikutana katika hoteli ya kifahari ya The Savoy, nchini Uingereza.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx