Mambo Manne Kufufuka kwa Yesu
Dar es salaam International Church
0:00 / 0:00
Mambo Manne Kufufuka kwa Yesu
406 просмотров · 6 л. назад
Dar es salaam International Church
1,13 тыс. подписчиков
406 просмотров · 6 л. назад
UJUMBE WA PASAKA:
1kor 15:12-14 Mathayo 28:11
MAMBO MAKUBWA MANNE KUFUFUKA KWA YESU
#Kutolewa kwa jiwe kaburini. Malaika alifanya kwa ajili ya wale wanawake alikuwa na nia njema. Hii inamaanisha , Bwana huondoa vikwazo tukiwa na nia njema kwa Bwana. Mtu Yoyote mwenye shauku kwa Bwana, Bwana humheshimu.
tunaamini juu ya ahadi ya Baba, Roho Mtakatifu. Imani ya Kikristo ni imani ya kimahusiano. Ndio maana Mungu wetu ni baba yetu. Imani nyingine hazina mahusiano kama haya.
#tutamtumikia kwasababu yeye yuko hai hata leo na anatenda kazi hata leo.tuna uhakika kwamba yuko hai Yesu alisema Yeye Mwenyewe. Hata alipofufuka alikula chakula kwasababu yeye sio mzimu. Mizimu haiwezi Kula.
Yesu takuja tena ili atukaribishe kwake. Yeye anapo mahali, mitume wengine hawana! Wanapeleka wapi watu wao?