Ya rabi swalli ala nnabi | U.Khatib Omary | qaswida
masjid jaami kitumbini
0:00 / 0:00
Ya rabi swalli ala nnabi | U.Khatib Omary | qaswida
97 просмотров · 2 недели назад
masjid jaami kitumbini
18 подписчиков
97 просмотров · 2 недели назад
Karibu kwenye Channel ya Masomo ya Kiislamu kutoka Masjid Al-Jumaa, Kitumbini – Posta, Dar es Salaam.
Hapa utapata darasa za kila siku za Kiislamu zinazofundishwa na Ustadh Khatib Omar – Naibu Imam wa Masjid Al-Jumaa, kuanzia Jumatatu hadi Alhamisi baada ya Swala ya Adhuri.
Vilevile, channel hii inakuletea khutba za Ijumaa moja kwa moja kutoka Msikiti wa Kitumbini, zikikusudia kukuimarisha katika elimu, malezi ya kiroho na uelewa sahihi wa dini ya Kiislamu.
📌 Maudhui ya Channel:
Masomo ya Kiislamu ya kila siku
Tafsiri na mafunzo ya Qur’an na Hadith
Khutba za Ijumaa kutoka Masjid Al-Jumaa
Nasaha na muongozo wa Kiislamu katika maisha ya kila siku
👉 Jiunge nasi kwa kusubscribe, ili usipitwe na darsa na khutba muhimu kila wiki.
🕌 Masjid kitumbini