Naibu rais William Ruto amkemea na kumkosoa waziri Fred Matiangi kufuatia matamshi yake
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Naibu rais William Ruto amkemea na kumkosoa waziri Fred Matiangi kufuatia matamshi yake
286 734 просмотра · 6 лет назад
Citizen TV Kenya
6,7 млн подписчиков
286 734 просмотра · 6 лет назад
Naibu rais William Ruto leo amemkemea na kumkosoa waziri wa usalama Fred matiangi kufuatia matamshi aliyoyatoa kaunti ya Kirinyaga ijumaa iliyopita. Ruto aliyezungumza katika kaunti ya Kiambu ameonekana kumlenga Matiang'i kwenye matamshi yake aliyowataja baadhi ya maafisa wa serikali kama wenye kiburi na madharau.