“SERIKALI ITUAMBIE ALIPO NCHIMBI” — ADO SHAIBU
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“SERIKALI ITUAMBIE ALIPO NCHIMBI” — ADO SHAIBU
331 просмотр · 9 часов назад
TMC NEWS TV
40,4 тыс. подписчиков
331 просмотр · 9 часов назад
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado, ameitaka Serikali kuvunja ukimya na kueleza alipo Makamu wa Rais Mstaafu, Dk. Nchimbi, akisema ukimya huo umezaa minong’ono kuwa anashikiliwa na vyombo vya dola.
Ado amesema Dk. Nchimbi, familia yake na vyombo vya dola wanapaswa kutoa uhakika kuhusu usalama wake. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 10, 2026, Ilemela, Mwanza.
#ACTWazalendo #AdoShaibu #DkNchimbi #Nchimbi #Serikali #Tanzania #SiasaTanzania #Mwanza #Ilemela #Demokrasia #KatibaMpya #Haki #TMCNEWS565 #tmcnews565