WIMBO CORONA BY BITOBOLO GOSPEL CHOIR
Babondo Babembe-BBTV
0:00 / 0:00
WIMBO CORONA BY BITOBOLO GOSPEL CHOIR
788 просмотров · 5 лет назад
Babondo Babembe-BBTV
9,79 тыс. подписчиков
788 просмотров · 5 лет назад
NI KWA MALENGO YA KU-PROMOUVOIR KAZI ZA WATOTO WETU BABEMBE BABONDO DUNIANI NA KUHENEZA INJILI YA BWANA WETU YESU KRISTO ULIMWENGUNI KOOTE NDIO MAANA TUNAWAWEKEA NYIMBO HIZI.NA KWA MAELEZO ZAIDI USIKOSE KUINGIA EN CONTACT NA WATOTO WETU WAIMBAJI.ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI TENA .(www.babembebabondotv.com )
Huyu hapa ni BITOBOLO GOSPEL CHOIR Katika wimbo --CORONA--tuliotuowa toka Album iko MADUKANI SASA. Tafadhali sana usikose kuwa baraka kwa watoto wetu amabao wanatuonyesha kwamba YESU KRISTO SULUHISHO na DAWA IPASAYO NA YAKUENELEA KWA SULUHISHO YA UGONJWA HUU ambao hadi elo hii ma elfu na maelfu wanaendelea kufariki.
MUNGU awabariki sana.Support HUDUMA hii ya BWANA tafadhali sana.
Asanteni