Перейти к содержимому

WEKA SAINI YAKO – Kwaya Shirikisho | Parokia ya Mt. Clara Chamazi Dar es Salaam | Harusi

Rk Mwigani Productions

0:00 / 0:00

WEKA SAINI YAKO – Kwaya Shirikisho | Parokia ya Mt. Clara Chamazi Dar es Salaam | Harusi

49 просмотров · 6 дн. назад
Rk Mwigani Productions
58 подписчиков
49 просмотров · 6 дн. назад
🎶 WEKA SAINI YAKO 🎶 Wimbo wa ndoa wenye ujumbe wa upendo, uaminifu, uvumilivu na kumwomba Mungu aubariki na kuuhifadhi muungano wa wanandoa. 🎤 Imeimbwa na: Kwaya Shirikisho ⛪ Parokia: Mt. Clara Chamazi – Dar es Salaam 🎼 Mtunzi: E. M. Lulaganyila 📍 Mwanza – 1988 “Weka saini yako Bwana, iwe saini ya amani yako.” ❤️🙏 Ikiwa umeupenda wimbo huu, LIKE 👍, COMMENT 💬, SHARE 🔄 na SUBSCRIBE 🔔 kwenye channel yetu ili kupata nyimbo nyingine za Kwaya Shirikisho. 💬 Swali: Ni mstari gani wa wimbo huu umekugusa zaidi? Tuandikie kwenye comment. #WekaSainiYako #KwayaShirikisho #MtClaraChamazi