Перейти к содержимому

YAMA PART 07 MWISHO

Lumbasi Simulizi

0:00 / 0:00

YAMA PART 07 MWISHO

2 181 просмотр · 16 ч назад
Lumbasi Simulizi
22,6 тыс. подписчиков
2 181 просмотр · 16 ч назад
Baada ya kuandika hayo maneno niliweka yale makaratasi mezani kisha nikaenda chumbani na kuchukua bastola yangu. Nilichagua kumalizia lile zoezi nje kwa nyuma ya nyumba ili nisiwape kazi ya kufanya usafi wowote. Nilikoki bastola na kuiweka kichwani kisha nikafyatua risasi moja na kilichofuata ni giza kuu. #simulizi #truestory #simulizizalumbasi