KUTOKA KIPAJI HADI KIPATO | 🔥 Siri ya Kuinua Wasanii wa Iramba, mwenyekiti Afunguka
YOA TV и SEKENKE MEDIA
0:00 / 0:00
KUTOKA KIPAJI HADI KIPATO | 🔥 Siri ya Kuinua Wasanii wa Iramba, mwenyekiti Afunguka
100 просмотров · 1 месяц назад
YOA TV и SEKENKE MEDIA
100 просмотров · 1 месяц назад
SANAA YA IRAMBA INASONGA MBELE AU IMESIMAMA?
“Anayeendelea kusonga mbele, hata akiwa polepole kwa speed ya baiskeli, humwacha nyuma yule aliyesimama.”
Katika interview hii maalum kupitia Yoa TV, tunazungumza kuhusu hali ya sanaa katika Wilaya ya Iramba na safari ya vipaji vya wasanii kuelekea fursa kubwa zaidi.
Tumezungumza na Mwenyekiti wa Wasanii Wilaya ya Iramba kuhusu hali halisi ya sanaa, changamoto zinazowakabili wasanii, namna wanavyoweza kutumia vipaji vyao kama chanzo cha ajira na kipato, pamoja na fursa zinazopatikana kupitia YouTube, TikTok, Instagram na majukwaa mengine ya kidijitali.
🎤 Katika interview hii utasikia: • Hali ya sanaa Iramba kwa sasa
• Changamoto kubwa zinazowakabili wasanii
• Hatua zinazochukuliwa na uongozi wa wasanii
• Namna teknolojia inavyoweza kubadilisha vipaji kuwa fursa
• Dira ya sanaa ya Iramba kwa miaka 3–5 ijayo
• Hatua muhimu ambazo wasanii wanapaswa kuanza kuchukua leo
🔥 Swali kubwa ni hili:
Je, sanaa ya Iramba inasonga mbele kwa kasi inayostahili?
Tazama interview hadi mwisho, kisha andika maoni yako kwenye COMMENT:
👉 Unafikiri ni jambo gani moja kubwa linaloweza kuinua sanaa ya Iramba?
📺 YOA TV — Habarika, Elimika, Burudika, na Kua Kiroho.
📍 YouTube: Yoa TV
📱 Instagram | TikTok | X: @yoa_media
#Iramba #SanaaIramba #WasaniiIramba #YoaTV #YoaMedia #WasaniiTanzania #SanaaTanzania #Singida #CreativeIndustry #TanzaniaArtists
@sekenkemedia #yoatv #yosiaemanuel #sautihalisi #singida #tanzania
#film