ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mchambuzi Abissay anataka kujua timu ipi yenye presha kati ya Simba, Yanga
Azam TV
0:00 / 0:00
ZILIZOBAMBA MITANDAONI | Mchambuzi Abissay anataka kujua timu ipi yenye presha kati ya Simba, Yanga
4 209 просмотров · 12 часов назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
4 209 просмотров · 12 часов назад
KARIAKOO DERBY: Unadhani ni timu gani ina presha zaidi kati ya Simba na Yanga kuelekea kwenye mchezo wao wa Oktoba 10, 2026…..???
Ni swali lililoulizwa na mchambuzi wa soka Abissay Stephen na kusomwa LIVE kupitia kipindi cha #Viwanjani.
Mwenyewe Abissay amechambua kuhusu presha kwa timu zote mbili na kutoa za kikachero kuhusu kocha wa Yanga.
Mchambuzi Godlisten Muro amesema timu zote mbili zina presha huku mchambuzi Michael Hyera akisema Yanga ndio yenye presha.
Ni #Zilizobamba mitandaoni
#SimbaSC #YangaSC #KariakooDerby