Перейти к содержимому

MPANGO WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO Pastor Emmanuel Theophilo 0787 871 752

Pastor Emmanuel Theophilo

0:00 / 0:00

MPANGO WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO Pastor Emmanuel Theophilo 0787 871 752

63 просмотра · 5 месяцев назад
Pastor Emmanuel Theophilo
13 подписчиков
63 просмотра · 5 месяцев назад
MPANGO WA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO. Labda leo umekata tamaa. Labda una majeraha moyoni. Labda umechoka kuomba. Labda maisha hayaendi kama ulivyotarajia. Lakini ujumbe wa Mungu kwako leo ni huu: “Bado nina mpango juu yako.” Watu wanaweza kukuona umechelewa. Lakini Mungu hajachelewa. Watu wanaweza kukuona huna maana. Lakini Mungu anaona kusudi ndani yako. Usiache maumivu yakufanye umpoteze Mungu. Kama bado una pumzi, bado kuna kusudi. MWITO WA MWISHO Kama unasikiliza ujumbe huu na unatamani maisha yako yarudi kwa Mungu, unaweza kuomba sala hii: “Bwana Yesu, naja mbele zako. Nisamehe dhambi zangu. Andika jina langu katika kitabu cha uzima. Niongoze katika mpango wako. Nipe nguvu ya kukufuata siku zote za maisha yangu. Amen.” Pastor Emmanuel Theophilo 0787 871 752 SUBSCRIBE MY CHANNEL SHARE VIDEO HII... LIKE... TOA MAONI YAKO... MUNGU AKUBARIKI SANA