“Kuondoa Stress ya Ng’ombe | Njia Bora za Kutunza Ng’ombe Wenye Afya”
AgriVibes
0:00 / 0:00
“Kuondoa Stress ya Ng’ombe | Njia Bora za Kutunza Ng’ombe Wenye Afya”
64 просмотра · 3 месяца назад
AgriVibes
74 подписчика
64 просмотра · 3 месяца назад
Katika video hii utajifunza njia bora za kuondoa stress kwa ng’ombe ili wawe na afya nzuri, kuongeza uzalishaji wa maziwa, kula vizuri na kukua kwa haraka.
Stress kwa ng’ombe inaweza kusababishwa na joto kali, njaa, mazingira mabaya, kelele, magonjwa au usafirishaji mbaya.
✅ Dalili za ng’ombe mwenye stress
✅ Namna ya kumtunza vizuri
✅ Chakula na maji sahihi
✅ Umuhimu wa usafi na mazingira mazuri
✅ Vidokezo vya kuongeza uzalishaji wa maziwa
Kama wewe ni mfugaji au unapenda ufugaji wa kisasa, video hii ni muhimu sana kwako.
📌 Subscribe kwa video zaidi za ufugaji na kilimo cha kisasa.
👍 Like, Comment & Share kusaidia wafugaji wengine.