Перейти к содержимому

Licha ya kuwa mzalishaji mkubwa, Tanzania yakabiliwa na uhaba mbegu za Mbaazi

Azam TV

0:00 / 0:00

Licha ya kuwa mzalishaji mkubwa, Tanzania yakabiliwa na uhaba mbegu za Mbaazi

532 просмотра · 4 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
532 просмотра · 4 года назад
Licha ya Tanzania kuwa nchi ya pili kwenye uzalishaji wa zao la mbaazi baraniAfrika, mahitaji ya mbegu za zao hilo bado yanatajwa kuwa makubwa ukilinganisha uzalishaji uliopo kwa sasa.