Mambo nane yaibuliwa ripoti ya pili ajali ya ndege ya Precision Air
Azam TV
0:00 / 0:00
Mambo nane yaibuliwa ripoti ya pili ajali ya ndege ya Precision Air
3 897 просмотров · 3 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
3 897 просмотров · 3 года назад
Ripoti ya pili ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Shirika la Ndege ya Precision Air iliyoanguka na kuua watu 19, imebainisha mambo manane ambayo yalichangia sababu ya ndege hiyo kuanguka.
Ajali ya ndege hiyo aina ya ATR ilitokea Novemba 6, mwaka jana ikiwa imebeba watu 39 na wafanyakazi wanne ilianguka karibu na eneo la Ziwa Victoria.
#AzamNews #AzamTVUpdates