IBADA YA JUMAPILI:: IBADA YA KUVUNJA KILA VIZUIZI :: 11.10.2026
PENUEL RESTORATION CHURCH
0:00 / 0:00
IBADA YA JUMAPILI:: IBADA YA KUVUNJA KILA VIZUIZI :: 11.10.2026
26 просмотров · Трансляция закончилась 19 ч назад
PENUEL RESTORATION CHURCH
263 подписчика
26 просмотров · Трансляция закончилась 19 ч назад
Karibu katika ibada hii yenye ujumbe wa *mabadiliko, urejesho na mwanzo mpya katika Kristo.* 🙏🔥
Leo tunaamini Mungu ana uwezo wa *kubadilisha vazi la huzuni kuwa vazi la furaha, vazi la aibu kuwa vazi la heshima, na vazi la kushindwa kuwa vazi la ushindi.*
Ikiwa kuna eneo la maisha yako linalohitaji mabadiliko, *mkaribishe Mungu atende kazi ndani yako.* Usitoke katika ibada hii ukiwa vile vile ulivyoingia!
🔥 *NJOO NA IMANI*
🔥 *NJOO NA KIU*
🔥 *NJOO UKAPOKEE VAZI JIPYA!*
📖 *ZEKARIA 3:4*
"Tazama, nimekuvua uovu wako, nami nitakuvika mavazi ya fahari."
*KARIBU PENUEL RESTORATION CHURCH — MAANA MUNGU BADO ANABADILISHA MAISHA!* ❤️🔥
#PenuelRestorationChurch #IbadaYaKubadiliVazi #VaziJipya #Mabadiliko #Urejesho #MunguAnatenda #SundayService