Перейти к содержимому

DC SHAKA ASISITIZA USAFI WA MAZINGIRA TAHADHARI DHIDI YA MVUA KUBWA ZA EL NINO

KILOSA DC

0:00 / 0:00

DC SHAKA ASISITIZA USAFI WA MAZINGIRA TAHADHARI DHIDI YA MVUA KUBWA ZA EL NINO

66 просмотров · 4 дня назад
KILOSA DC
311 подписчиков
66 просмотров · 4 дня назад
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka amewataka wakazi wa Kata ya Mbumi iliyoko Tarafa ya Kilosa kushiriki katika usafi wa mazingira ili kupunguza athari za mafuriko na milipuko ya magojwa hasa katika kipindi hiki ambacho mvua kuwa zinazotabiliwa kuanza kunyesha. Mhe. Shaka ametoa rai hiyo Septemba 30, 2026 wakati akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero zao uliofanyika katika viwanja vya soko la Mbumi. Mhe. Shaka amesisitiza kuwa kila mtu kwa nafasi yake afanye usafi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kuondoa uchafu ulioko kwenye mitaro ya maji. Katika hatua nyingine, DC Shaka amebainisha kuwa imewekwa mikakati ambayo kuanzia ngazi za wilaya hadi vitongoji watu wote kwa kushirikiana na uongozi, watashiriki kwenye usafi wa mara kwa mara