AMETUFURAHISHA-Kijitonyama Youth Choir (KYC)
Kijitonyama Youth Choir
0:00 / 0:00
AMETUFURAHISHA-Kijitonyama Youth Choir (KYC)
7 133 просмотра · 3 года назад
Kijitonyama Youth Choir
6,05 тыс. подписчиков
7 133 просмотра · 3 года назад
Mnamo mwaka 2020 nchini South Africa kulitokea mauaji ya wenyewe kwa wenyewe jambo ambalo lilikua na taswira ya kutisha na kuleta simanzi kubwa sana Katika nchi za Africa , ndipo Mungu akasema na ndugu John Adam Kishaluli ambaye kwa wakati huo alikua ni Kiongozi wa kwaya ya vijana ili kuandaa wimbo wa faraja na kuleta matumaini kwa mataifa ya AFRICA lakini kwa wakati huo hatukupata kibali cha kuuandaa.
mnamo mwaka huohuo 2020 DUNIA ikapita katika changamoto nyingine ya COVID 19, ambapo tulishuhudia mauti ikiikumba Dunia kwa kiwango cha kutisha na hapo ndipo tulipata nafasi ya kuandaa Huu wimbo wa baraka ambao Mungu alitupa kupitia mtumishi wake mwl Ully Homey Mwangolombe na hii ni baada ya watu wengi kupoteza wapendwa wao na kila pahali pote duniani ilikua ni huzuni. Huu Ulikua ni wimbo wa ahadi kwamba Bwana atatufurahisha tena na kuondoa ugonjwa huu hatari uliosumbua dunia nzima.
HAKIKA BWANA AMETUFURAHISHA HALELUYA