Перейти к содержимому

Buguza Feat Mucky Talent - Nimekubali Remix (Official Audio Lyrics)

Buguza и Mucky Talent

0:00 / 0:00

Buguza Feat Mucky Talent - Nimekubali Remix (Official Audio Lyrics)

32 076 просмотров · 8 месяцев назад
Buguza и Mucky Talent
32 076 просмотров · 8 месяцев назад
NIMEKUBALI (Remix) ni wimbo wa hisia nzito unaobeba maumivu ya mapenzi ya kweli 💔 Baada ya toleo la awali, Mucky Talent aliomba remix, na leo tumekuja na version mpya yenye ladha tofauti lakini maumivu yale yale. Huu ni wimbo kwa yeyote aliyependa kwa dhati, akaumia, akaamua kusema “nimenyoosha mikono… nimekubali” 😔 Mapenzi yakiumiza, mtu hubaki na kumbukumbu tu. 👉🏽 Subscribe, Like, Comment na Share kama umewahi kupitia maumivu ya mapenzi 👉🏽 Tuambie kwenye comment: umewahi kukubali nini kwenye mapenzi? #Nimekubali #NimekubaliRemix #MimiBuguza #MuckyTalent #BongoFlava #LoveSong #MaumivuYaMapenzi #SwahiliLove #TanzaniaMusic #NewMusic2026 #BongoMusic #HeartbreakSong #Mapenzi #SadSong #AfricanMusic