La! kila mbegu Ipandwayo haina budi kuzaa .../BEMBEA YA MAISHASehemu I Onyesho I -UK 1:Sifa za Yona
Teachkrest International (Ruth K. N)
0:00 / 0:00
La! kila mbegu Ipandwayo haina budi kuzaa .../BEMBEA YA MAISHASehemu I Onyesho I -UK 1:Sifa za Yona
928 просмотров · 2 г. назад
Teachkrest International (Ruth K. N)
3,29 тыс. подписчиков
928 просмотров · 2 г. назад
"La! kila mbegu ipandwayo haina budi kuzaa na izaapo mazao yake huvunwa."
Au
"La! kila mbegu Ipandwayo haina budi kuzaa na izaapo mazao yake huvunwa. Mtu huitakasa sahani akijua itamfaa Tena."
A. Eleza muktadha wa dondoo hili
B. Tambua tamathali ya usemi iliyotumiwa katika dondoo hili
C. Eleza wasifu wa msemaji wa kauli hii