Перейти к содержимому

Kilimo cha ndimu, limau na machungwa nchini Afrika Kusini

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

Kilimo cha ndimu, limau na machungwa nchini Afrika Kusini

7 852 просмотра · 5 лет назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
7 852 просмотра · 5 лет назад
Afrika Kusini ni taifa la pili linalozalisha mazao ya ndimu, limau, machungwa na masenza kwa wingi duniani kote. Mwanahabari wa BBC Vumani Mkhize nchini Afrika Kusini ametembelea mashamba yanayopanda mazao hayo kutathmini hali.