Mimea 7 Inayosaidia Kuku Kuongeza Uzito kwa Haraka + Lishe Bora
KingoFarm
0:00 / 0:00
Mimea 7 Inayosaidia Kuku Kuongeza Uzito kwa Haraka + Lishe Bora
11 298 просмотров · 2 месяца назад
KingoFarm
62,8 тыс. подписчиков
11 298 просмотров · 2 месяца назад
Karibu KingoFarm! 🐔🌿
Katika video hii utajifunza kuhusu mimea 7 inayosaidia kuku kuongeza uzito inapochanganywa na lishe bora. Mimea hii ni rahisi kuipata na inaweza kusaidia kuboresha afya ya kuku, mmeng'enyo wa chakula, na ukuaji wao.
Utajifunza:
✅ Mimea 7 yenye virutubisho muhimu kwa kuku.
✅ Jinsi ya kuitumia kwa usahihi.
✅ Faida za kila mmea.
✅ Makosa ya kuepuka wakati wa kutumia mimea.
Kumbuka, mimea ni nyongeza ya lishe. Ili kuku waongeze uzito vizuri wanahitaji pia chakula chenye uwiano sahihi wa protini na nishati, maji safi ya kutosha, na usimamizi mzuri wa afya.
📚 Unahitaji mafunzo ya kina kuhusu ufugaji wa kuku, tiba za asili na mbinu za kuongeza uzalishaji? Wasiliana na KingoFarm kwa vitabu vyetu vya mwongozo na kujiunga na kundi letu la WhatsApp la mafunzo.
👍 Usisahau kulike video, kuandika maoni yako, na kusubscribe kwenye KingoFarm ili usikose mafunzo mengine ya ufugaji.
#KingoFarm #UfugajiWaKuku #KukuWaKienyeji #TibaZaAsili #KilimoNaUfugaji #Mlonge #LisheYaKuku #UfugajiBora #PoultryFarming #ChickenFarm