Перейти к содержимому

MAZIKO YA CHIVAYO - IBADA YA SALA YAIBUA HISIA NZITO - HUZUNI YATAWALA - MAMIA WAFURIKA KUWAAGA

Global TV Online

0:00 / 0:00

MAZIKO YA CHIVAYO - IBADA YA SALA YAIBUA HISIA NZITO - HUZUNI YATAWALA - MAMIA WAFURIKA KUWAAGA

6 857 просмотров · 1 дн. назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
6 857 просмотров · 1 дн. назад
MAZIKO YA CHIVAYO - IBADA YA SALA YAIBUA HISIA NZITO - HUZUNI YATAWALA - MAMIA WAFURIKA KUWAAGA @ONESMO - DAR CC; OTIENO Wafuasi wa dhehebu la Kitume wameongoza waombolezaji katika nyimbo za maombolezo, sala na ibada wakati wa shughuli za kuwaaga mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mke wake, Lucy “Lulu” Muteke, katika nyumba ya familia yao iliyopo Gletwyn, Harare, Zimbabwe. Shughuli hiyo imekusanya ndugu, jamaa, marafiki, viongozi na mamia ya waombolezaji waliofika kutoa heshima zao za mwisho kwa wanandoa hao, huku hali ya huzuni ikitawala katika eneo hilo. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com