Перейти к содержимому

Mambo Ya Lazima Kufanya Ili Ufunguliwe Account Ya Facebook au Instagram iliyofungwa

Wantedlife Marketing

0:00 / 0:00

Mambo Ya Lazima Kufanya Ili Ufunguliwe Account Ya Facebook au Instagram iliyofungwa

1 687 просмотров · 3 г. назад
Wantedlife Marketing
20 тыс. подписчиков
1 687 просмотров · 3 г. назад
SPONSORED ADS: Sponsored Ads Au kurusha Matangazo kwenye Mtandao wa Facebook na Instagram kumekuwa na Manufaa mengi mno. Lakini sio wote wanaoifahamu Sponsored ads... Ila hata kwa wanaoifahamu bado wamekuwa wakikumbwa na matatizo kila siku ya kufungua account zao zilizofungwa(Disabled &Restricted). Katika video hii nimeongea hatua za msingi jinsi unavyoweza kulitambua Tatizo na kulitatua wewe mwenyewe. Ukikwama Mahali popote usisite kuwasiliana nami WhatsApp +255656781501 Au kupitia link hii https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 Ili kupata Msaada wa Haraka. Ahsante🙏 Kama umejifunza kitu usisahau kulike, kucoment na kusubscribe katika channel hii    / wantedlifemarkerting   ------------------------------------------- ------------------------------------------- wasiliana Nami WhatsApp Kupitia Link hii👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 ----------------------------------------- ----------------------------------------- MASTERCLASSES 1)Jifunze Sponsored ads masterclass kwa usimamizi wa mwaka mzima Pamoja na kutatua matatizo yote ya sponsored ads wewe mwenyewe 2)Jifunze jinsi ya kutengeneza video aina zote kama vile Lyrics, matangazo, katuni kwa kupitia Simu tu.. LIMITED OFFER Bonyeza hapa Chini kuwasiliana nami whatsApp👇 https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 -------------------------------------- -------------------------------------- Vitabu 5 Vilivyobadili Maisha yangu Hasa ya kiuchumi pindi nilipoanza kufanya biashara Mtandaoni.. Hakikisha unavisoma Kama kweli unataka mafanikio makubwa katika biashara Mambo 55 Ya kuzingatia Kabla ya kuanzisha biashara👇 https://bit.ly/3pRHH2c Mawazo 60 Ya Biashara👇 https://bit.ly/3pNdotS Mbinu 16 za kuongeza Mauzo kwenye Biashara Yako👇 https://bit.ly/3PQYPjp Njia 7 za Kuiteka Dar👇 https://bit.ly/3dYRdOm Ukombozi wa Fikra👇 https://bit.ly/3AlSeb3 ---------------------------- ---------------------------- ⚠️DISCLOSURE: This Video and Description may contain Links, which means that If You Click On one of the Product Link, I will receive small Commission.This helps Support the channel and Allows me continue to make amazing videos --------------------------------------- --------------------------------------- TAZAMA PIA; 1.Jinsi ya kufungua Account Ya facebook&Instagram iliyofungwa👇    • Jinsi Ya KUFUNGUA Instagram&Facebook Accou...   2.Jinsi ya kufungua Instagram ya kibiashara/Jinsi ya kuunganisha Instagram na Facebook page👇    • Jinsi Ya kubadili akaunti ya Instagram kuw...   3.Jinsi ya Kuepuka changamoto ya Approve Temporary Hold of Funds👇    • SPONSORED ADS: Jinsi ya Kuepuka Changamoto...   4.Jinsi ya kuset Tangazo la sponsored ads kwenye Facebook ads manager👇    • SPONSORED ADS:Jinsi Ya Kuset Tangazo La ku...   5.Jinsi ya kuboost tangazo lako Facebook👇    • SPONSORED ADS:Jinsi Ya Kuboost Tangazo Lak...   6.Vitu 6 vya muhimu ili urushe Tangazo    • Namna Sahihi Ya kufungua Facebook Page ya ...   7.Jinsi Ya kusponsor Instagram👇    • SPONSORED ADS: Jinsi Ya Kufanya Sponsored ...   ------------------------------------- ------------------------------------- SUBSCRIBE Kumbuka KUSUBSCRIBE katika Channel ili Usipitwe na Mafunzo yatakayokusogeza mbele katika kufanya Biashara Mtandaoni👇    / @wantedlifemarkerting   ------------------------------------ ------------------------------------ 😍TUWE MARAFIKI Hello, Naitwa Ezrah Mhonda, Ni mjasiriamali wa mambo ya Mitandao. Nasaidia Wafanyabiashara na Wajasiriamali kukuza biashara zao kupitia Mitandao ya kijamii. Pia nasaidia vijana wanaotamani kuingiza kipato kupitia smartphone zao. Unaweza nifuatilia INSTAGRAM:  / wantedlifemarketing   FACEBOOK:   / wantedlifemarketing   TWITTER:https://twitter.com/wantedlife_?t=4QJ... WHATSAPP:https://wa.me/message/GQ3V2JG2LUXUN1 EMAIL: wantedlifemarketing@gmail.com ------------------------------ ------------------------------ #Jinsiyakusponsormatangazo #wantedlife #Ninimaanayasponsoredads #instagram #facebook #sponsoredads #approvetemporaryhold #matatizo #jinsiya USISAHAU KUSUBSCRIBE🤩