Перейти к содержимому

Vitabu vya APOKRIFA – Hidden | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

Mwal. Eliya

0:00 / 0:00

Vitabu vya APOKRIFA – Hidden | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

103 просмотра · 1 год назад
Mwal. Eliya
837 подписчиков
103 просмотра · 1 год назад
Apokrifa humanisha iliyofichika, ni maandiko yaliyokuwa yamefichika kwa maana ya kwamba hayakujulikana. Neno Apocrypha linatokana na neno la kiyunani apokruphos ambalo ni muungano wa maneno mawil apo—mbali ya- na kruptolkruptos—iliyofichwa. Vitabu vya apokrifa ni vitabu ambavyo Wakatoliki, na WaOthodox wa Urusi huvikubari kama maandiko makuu yanayofaa kufundishia imani. Vitabu vya apokrifa ni maandiko ambayo yalichapishwa baada ya kipindi cha Nabii Malaki hadi kufikia mwisho wa Karne ya kwanza ya Ukristo. Baadhi ya Vitabu vya apokrifa tutakavyo viangalia ni 1 Wamakabayo 2 Wamakabayo Judithi Tobiti Wimbo wa Sulemani Esdras Baruch Sira Ombi la Manase Hekima ya Sulemani Walaka wa Yermia Kutokana na Ushahidi tunaoupata katika agano jipya ni wazi kwamba Wayahudi walikuwa na Kitabu (Vitabu) ambavyo waliamini kuwa ni Sahihi na vinafaa kufundishia—CANON. Vitabu hivyo viliitwa Musa(Sheria), Manabii, na Zaburi au Torati na Manabii au Musa na Manabii. Tazama Math 5:17-18, 7:12, 11:13, 22:40. Luka 16:16-19, 24:27,44 Yoh 1:45. Mdo 13:15, 24: 14. 28:23 na Rumi 3:2 SAIDIA HUDUMA KWA KUCHANGIA Airtel money: +255 (0) 784 662 2210 Sanduku la Posta 1024 Iringa KUSUDI LANGU: ►Kufundisha watu kumfahamu na kumjua Mungu (JEHOVA) ►Kufundisha watu kutembea katika nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu. ►Kuwatia moyo na kuwafundisha watu kumjua Mungu wao na kumtii. ►Kuwajulisha watu kwa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo. ► Youtube @ / @injilinjeyakutazakanisa ► Ungana nasi Instagram: / mwl.eliya ➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!! TAFADHALI KUMBUKA: Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya. ILANI YA HAKI MILIKI: Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo, ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!