Перейти к содержимому

AMENIFANYA CHOMBO.🔥🔥( Official Video).By Emmanuel Mgogo ( +255769505537)

EMMANUEL MGOGO Official Tz

0:00 / 0:00

AMENIFANYA CHOMBO.🔥🔥( Official Video).By Emmanuel Mgogo ( +255769505537)

167 014 просмотров · 3 месяца назад
EMMANUEL MGOGO Official Tz
230 тыс. подписчиков
167 014 просмотров · 3 месяца назад
#:Mpendwa wangu, msikilizaji na mtazamaji wa nyimbo za Injili, Ninakukaribisha kupokea Baraka za MUNGU kupitla Wimbo huu uliojaa mafuta ya ROHO MTAKATIFU Wimbo huu ni Ufunuo kutoka kitabu cha * Daniel 5:1-30, na Isaya 41:15 Namshukuru producer wangu wa Audio...JESUS BLESSING (JB) kwa kazi nzuri. Namshukuru pia Director wa Video HII nzuri ...AGREY SUNSEE Namshukuru mkewangu mpenzi ...DIANA EMMANUEL kwa kuniombea na kusimama nami wakati WOTE Nawashukuru pia washirika wangu wa Kanisa kwa kuniombea Hakikisha Una..SUBSCRIBE KWA account HII ya YouTube ili kupata baraka ZAIDI.