Перейти к содержимому

MCA Tricky Ndani Ya Studio

Radio Jambo KENYA

0:00 / 0:00

MCA Tricky Ndani Ya Studio

216 806 просмотров · 9 л. назад
Radio Jambo KENYA
506 тыс. подписчиков
216 806 просмотров · 9 л. назад
Siku ya Ijumaa ilikuwa siku ya kufana sana kwake mtangazaji wa Bustani La Massawe, Massawe Japanni na pia yenye ukumbusho chungu nzima. Hii ni baada ya mtangazaji huyo kukutana naye msanii maarufu, Tiwa Savage kutoka nchi ya Nigeria anayejulikana kwa ngoma kama; 'Eminado' na 'Kelekele' studioni asubuhi na mapema.