Kullu bidaah dwalalah sheikh abul Khatwaab Abdallah humeid audio 1
salafi
0:00 / 0:00
Kullu bidaah dwalalah sheikh abul Khatwaab Abdallah humeid audio 1
146 просмотров · 2 недели назад
salafi
54 подписчика
146 просмотров · 2 недели назад
بسم الله الرحمن الرحيم
Alhamdulillah.
Haya ni masomo ya kitabu Kullu Bid‘atin Dhalalah cha Sheikh Ibrahim Al-Mazrui حفظه الله, yanayofundishwa na Abul Khatwaab Abdallah Humeid حفظه الله.
Kitabu hiki kinaeleza kuhusu bid‘ah na hatari zake, kwa mujibu wa Qur’an, Sunnah, na uelewa wa Salaf As-Salih, na kumsaidia Muislamu kujiepusha na bid‘ah na kushikamana na Sunnah.
Tunamuomba Allah ayafanye masomo haya kuwa yenye manufaa, na ayajaalie kuwa sababu ya kuongezeka kwa elimu yenye manufaa na amali njema.
Allahumma allimna ma yanfa‘una, wanfa‘na bima allamtana, wa zidna ilma.
📚 Kitabu: Kullu Bid‘atin Dhalalah — Sheikh Ibrahim Al-Mazrui حفظه الله
🎙 Mwalimu: Abul Khatwaab Abdallah Humeid حفظه الله