KUNA KIWANJA KIMOJA KITEULE BY DANIEL SIFUNA, SWAHILI OLD SONGS /CHOIR/KWAYA. #trending #viral.
Daniel Sifuna
0:00 / 0:00
KUNA KIWANJA KIMOJA KITEULE BY DANIEL SIFUNA, SWAHILI OLD SONGS /CHOIR/KWAYA. #trending #viral.
522 268 просмотров · 2 года назад
Daniel Sifuna
339 тыс. подписчиков
522 268 просмотров · 2 года назад
KUNA KIWANJA KIMOJA KITEULE.
1 Kuna kiwanja kimoja kiteule
Cha kusimama watu wote
Kutoa kazi za kila mwanadamu
alizopewa na Mungu
CHORUS
Wengine watafukuzwa ondoka, uende..
Sikujui sikujui mimi...
kazi zako na talanta ulizopewa
ulizika chini wewe.
2.Watakuwa wakilia woi! woi!
Tulifanya kazi za bure
watakimbia huku na huko pia
wakisaga meno yao.
3.Bwana Yesu alikuja kuokoa
Mwanadamu kutoka dhambi
Atakuja kuchuku walio wake
Walioshwa na damu.
4.Yampasa mwanadamu ajiulize
Bwana Yesu atakaporudi
Utasimama kulia ama kushoto
Kwake mwana wa Mungu..
GOD BLESS YOU MORE AND MORE
THANKS FOR YOUR SUPPORT.
Call/ support 0746298853
Other social media. .
Facebook; DANIEL SIFUNA
TIKTOK.; danisifuna2