Ruto awaonya wapinzani kuhusu mradi wa Dangote
Citizen TV Kenya
0:00 / 0:00
Ruto awaonya wapinzani kuhusu mradi wa Dangote
3 070 просмотров · 4 часа назад
Citizen TV Kenya
6,7 млн подписчиков
3 070 просмотров · 4 часа назад
Rais William Ruto amewaonya viongozi wa upinzani dhidi ya kuwatumia vibaya wakazi wa Lamu kwa lengo la kuhujumu ujenzi wa kampuni ya kusafisha mafuta inayohusishwa na mfanyabiashara Aliko Dangote.
Rais Ruto amewataja wapinzani wanaopinga mradi huo kuwa matapeli wenye ubinafsi, akiwakosoa kwa kuwasilisha kesi mahakamani kupinga utekelezaji wake.
Rais Ruto amesema juhudi za kusambaratisha mradi huo zitaambulia patupu.