Перейти к содержимому

NENDENI MKAWE VICHWA NA SI MIKIA | UTUME KWA MATAIFA YOTE

UTUME KWA MATAIFA YOTE

0:00 / 0:00

NENDENI MKAWE VICHWA NA SI MIKIA | UTUME KWA MATAIFA YOTE

23 просмотра · 9 мес. назад
UTUME KWA MATAIFA YOTE
15 подписчиков
23 просмотра · 9 мес. назад
UTUME KWA MATAIFA YOTE ni channel ya Kikristo inayolenga kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kwa mataifa yote, kulingana na agizo la Bwana wetu Yesu Kristo (Mathayo 28:19-20). Kupitia channel hii utapata: Mafundisho ya Neno la Mungu Mahubiri yenye kujenga imani Maombi na maombezi Ufunuo na mafundisho ya wokovu Kuhamasisha utakatifu na maisha ya kumpendeza Mungu Lengo letu ni kumtangaza Yesu Kristo, kuwaleta watu kwa toba, wokovu, na kuwakomaza waamini katika imani ya kweli. 👉 Subscribe, like, na share ili Injili iwafikie watu wengi zaidi. 📖 “Nendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.” — Marko 16:15