Перейти к содержимому

Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA 79110098 to 811

Rehema Simfukwe

0:00 / 0:00

Rehema Simfukwe - Ndio (Live Music Video) SMS SKIZA 79110098 to 811

23 128 093 просмотра · 4 года назад
Rehema Simfukwe
366 тыс. подписчиков
23 128 093 просмотра · 4 года назад
AHADI za Mungu ni KWELI na zimehakikishwa alilolisema hakuna wa kulipinga wala kulikataa, Wimbo huu NDIO ni ukiri wa Imani kwamba Mungu anaweza kufanya kile alichokisema na tunao ujasiri wa kusema "BABA, Ameamua, BABA amesema NDIO. Ni maombi yetu wimbo huu utafanyika baraka kwa mataifa na kila AHADI ya BABA yetu ikafanyike NDIO kwa kila mmoja wetu. Maana ahadi zote za Mungu zilizopo katika yeye ni Ndio; tena kwa hiyo katika yeye ni Amina; Mungu apate kutukuzwa kwa sisi. 2 Wakorintho 1:20 Live Recorded at Ubungo Plaza Music Director - Samuel Yonah Video Director - Huruma Charles Assistant Director - Kababah_digital_media Video Editor - Fredrick Stephano Audio Captured by Sam Mboya - choosenrecordsinternational Audio Mastered/Mixed by Samuel Yonah - samyonstudios The BAND (Vocals&Musicians) - Team Halisi MD/Arranger|MainKeyz: @samyonah.tz Drums: @_officialhans Bass: @topbeyz Guitar 1: @andrewmichaelkan Guitar 2: @kaz.benjamin Acoustic🎸: @bezalelmwandete Aux 1 (Synth Lead): @am_keifer Aux 2 (Brass//synth chord): @fred_yonah Aux 3 (Marimba/Bells/synth): @nasamwa_keys BACKVOCALS : (Soprano) @jennifer_ulomy @jackieayub @mellyrites sherie @markybeyz (Alto) felister @lizblecng @nejamaly @sarahjohnmenas (Tenor) masolwa @georgesangiza @joshualugendotz @haggaimic LIVE SOUND: Live Audio Engineer FOH: @gadi_sl 🔥 MonitorBvs: @therealmujwahuki_mj MonitorLVs&Music: @b_ngowi FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd Truss : @soundmusictz Hospitality: @lightness_rhody ——— Make-up & Rehema’s dress & designer: @shatafrika Ladies: @kuyacreations FOH Sound & Backline equipments & Stage : @haddypro_proffesional_audio @givenadd Truss : @soundmusictz Decoration/LED Screen @simplyspecialdecor255 Lights: @allanlighting & joram Lyric interpreter- Venisia Zephaniah Channel Administered by Huru Digital Instagram:   / hurudigital   #RehemaSimfukwe#Ndio#MusicVideo