Highlights | Simba SC 2-0 St. George - SIMBA DAY 8/08/2022
Azam TV
0:00 / 0:00
Highlights | Simba SC 2-0 St. George - SIMBA DAY 8/08/2022
971 439 просмотров · 4 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
971 439 просмотров · 4 года назад
Simba Sports Club kwenye kilele cha SIMBA DAY, Wekundu wa Msimbazi waliwaalika mabingwa wa soka wa Ethiopia ST. GEORGE na mabao mawili kutoka kwa Kibu Denis na Nelson Okwa yakatosha kuwapa raha mashabiki wa Simba SC kwenye siku yao.
Tazama mambo yalivyokuwa dimbani Benjamin Mkapa.