Перейти к содержимому

JWTZ YABAINI MADUDU USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT, OPERESHENI KABAMBE YAJA

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

JWTZ YABAINI MADUDU USAJILI WA KUJIUNGA NA JKT, OPERESHENI KABAMBE YAJA

13 370 просмотров · 7 лет назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
13 370 просмотров · 7 лет назад
Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) limebaini baadhi ya waombaji, viongozi wa serikali na watumishi jeshini wanashiriki mbinu zinazokiuka utaratibu katika uandikishaji wa vijana watakaojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT). Mkurugenzi wa Habari JWTZ, Luteni Kanali Gaudentius Ilonda amesema licha ya taratibu kuwa wazi, viongozi hao wanatumia nafasi zao kupenyeza ushawishi ili ndugu, jamaa au rafiki zao wasajiliwe hivyo uhakiki utafanyika na hatua za kisheria zitachukuliwa