Перейти к содержимому

#SIKU YA TATU MKUTANO WA INJILI NA MAOMBEZI 26/07/2025 KWA MATOLEO VODA LIPA NAMBA 5201833

CITY LIGHT TEMPLE

0:00 / 0:00

#SIKU YA TATU MKUTANO WA INJILI NA MAOMBEZI 26/07/2025 KWA MATOLEO VODA LIPA NAMBA 5201833

73 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
CITY LIGHT TEMPLE
1,32 тыс. подписчиков
73 просмотра · Трансляция закончилась 1 год назад
KARIBU KATIKA KANISA LA TAG- City Light Temple. Mpendwa mtu wa Mungu, tafadhali ungana nasi kusikiliza neno la Mungu mubashara kutoka hapa kanisani TAG-City Light Temple lililopo Goba, Matosa, Dar es Salaam Tunazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa mema na makuu aliyotutendea mwaka wote huu. Asante sana kwa kujumuika nasi. Mualike na mwingine hapa na ndelea kufuatilia mafundisho mubashara. Ikiwa ungependa kumtolea Mungu sadaka na ZAKA, basi tumia namba zifuatazo; VODACOM LIPA NAMBA 5201833 SADAKA TAG CITY LIGHT TEMPLE au BENKI YA CRDB ACCOUNT NAMBA 133704447900 Jina la Account - TAG CITY LIGHT TEMPLE USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-SHARE HABARI HIZI NJEMA #CLT #SEMINA#NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEMPLE-CLT