Перейти к содержимому

BWANA SIKU ZOTE UTUPE CHAKULA HIKI || 04.10.2026

NURU YA UPENDO wa Kristo

0:00 / 0:00

BWANA SIKU ZOTE UTUPE CHAKULA HIKI || 04.10.2026

171 просмотр · Трансляция закончилась 15 часов назад
NURU YA UPENDO wa Kristo
1,72 тыс. подписчиков
171 просмотр · Трансляция закончилась 15 часов назад
Waebrania 12:1-3 "Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu, 2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu. 3 Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili mapingamizi makuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu."