Перейти к содержимому

KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI

Ricc Mbeya

0:00 / 0:00

KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI

4 967 просмотров · 4 года назад
Ricc Mbeya
385 подписчиков
4 967 просмотров · 4 года назад
KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI 1 Wakorintho 11:21-30 By Pastor Sunday Matondo (0754448504) Meza ya Bwana Ni ushirika mtakatifu SABABU ZA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA Kutambua kazi ya Yesu msalabani Kudumisha umoja wa kanisa Kutukumbusha kuwa Yesu anarudi Ni kwa ajili ya uponyaji wa miili na roho zetu KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI -Ni kushiriki ukiwa unamchukia ndugu yako -Kuishi bila mapatano/kusamee -Ni kushiriki ukiwa na dhambi -Ni kushiriki pasipo kujali/Kujipambanua -Ni kushiriki kwa mazoea MADHARA YA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA ISIVYO STAHILI -Mungu kuwaacha -Udhaifu kimwili na kiroho -Wengine wamekufa kimwili/kiroho. Mungu wa mbinguni akubariki, Kwa maswali au ushauri piga namba (0754448504)