Перейти к содержимому

Aina Gani ya Parachichi Inalipa Zaidi Tanzania? Chagua Aina ya Parachichi Itakayokupa Faida Mara 3

Kilimo Biashara

0:00 / 0:00

Aina Gani ya Parachichi Inalipa Zaidi Tanzania? Chagua Aina ya Parachichi Itakayokupa Faida Mara 3

388 просмотров · 5 месяцев назад
Kilimo Biashara
3,83 тыс. подписчиков
388 просмотров · 5 месяцев назад
Je, unajua kuwa kuchagua aina tofauti ya parachichi kunaweza kuongeza faida yako mara tatu zaidi? Usikurupuke kupanda kabla ya kujua soko lako ni lipi na eneo lako lina vigezo gani. Pata miche bora na mwongozo wa kilimo sasa — Piga 0763 071 007 • 0:01:21 - Siri ya Hass: Kwa nini soko la Ulaya linagombea aina hii? • 0:01:46 - Fuerte na soko la ndani: Faida ya kucheza kwenye "Ligi ya Shilingi" • 0:02:48 - Kosa ambalo wakulima wengi hufanya wanapochagua aina ya kupanda Agiza Miche Bora ya Parachichi (Hass, Fuerte, Pinkerton): WhatsApp/Simu: 0763 071 007 Email: books@kilimo.net Vitabu na Miongozo: www.kilimo.net/books #KilimoBiashara #parachichi #avocado #biashara #fursa #Tanzania #investment #pesa kilimo cha parachichi Tanzania, aina bora ya miche ya parachichi, faida ya kilimo cha parachichi