Перейти к содержимому

UTUKUFU | Ambwene Mwasongwe | TAG-DPA

Dar es Salaam Pentecostal Assembly (DPA)

0:00 / 0:00

UTUKUFU | Ambwene Mwasongwe | TAG-DPA

623 просмотра · 2 нед. назад
Dar es Salaam Pentecostal Assembly (DPA)
114 подписчиков
623 просмотра · 2 нед. назад
Nani anastahili kufungua kitabu na kuvunja mihuri yake? Yesu Kristo pekee amestahili! Ungana nasi katika kuabudu kupitia uimbaji wa Ambwene Mwasongwe, unaotukumbusha ukuu wa Yesu Kristo, Simba wa kabila la Yuda. Yeye ndiye Mwanakondoo aliyetununua kwa damu yake na kutufungulia njia ya wokovu. Ujumbe wa wimbo huu unaakisi Ufunuo 5:1–14: Yohana alipolia kwa sababu hakuna aliyestahili kufungua kitabu, mmoja wa wazee alimtia moyo akimwambia asilie—Simba wa kabila la Yuda ameshinda! Tunapoabudu, tumpe Yesu utukufu na heshima. Yeye ni mtakatifu, mwenye haki na anayestahili sifa zetu zote. Andika kwenye comments: “Yesu, wewe pekee umestahili!” Shiriki video hii na wengine, subscribe kwenye channel yetu na washa kengele kupata nyimbo, mahubiri na mafundisho zaidi. #AmbweneMwasongwe #YesuAmestahili #Kuabudu #NyimboZaInjili #DPAGoba