Njia Za Kuongeza Kipato | Emilian Busara | Orbit Securities | Money Talk
Mtaji Academy
0:00 / 0:00
Njia Za Kuongeza Kipato | Emilian Busara | Orbit Securities | Money Talk
10 752 просмотра · 2 г. назад
Mtaji Academy
7,84 тыс. подписчиков
10 752 просмотра · 2 г. назад
NAMNA YA KUONGEZA KIPATO NA MIKAKATI HUSIKA
***************
Hapa ni moja ya watanzania wanaotajwa sana kuwa kwenye mstari wa mbele katika kutoa elimu ya fedha na uwekezaji kwa watanzania na wanaotumia lugha ya Kiswahili; Mwl. Emilian Busara (MBA, FCPA).
Hii ni elimu aliyoitoa kuhusu namna ya kuongeza kipato kupitia uwekezaji na mikakati muhimu ya kuzingatia katika mchakato wa kuongeza kipato.
Kati ya hayo amezungumzia:
• Vyanzo vya mapato
• Tofauti ya mfanyabiashara na mwekezaji
• Uwekezaji (Hisa/Hatifungani)
• UTT (Mifuko ya Uwekezaji)
• Ardhi (Real Estate)
• Mrabaha/Maokoto (Royalties)
• Huduma (Ministry)
• Mikakati muhimu
********
Mzungumzaji:
Mwl. Emilian Busara, Mwalimu - Elimu ya Fedha na Uwekezaji
Hosts:
Ammi Julian, Investment Analyst, Orbit Securities
Fortius Rutabingwa, Head of Research, Orbit Securities
Session: Recorded
Platform: Orbit Securities Co. LTD, Zoom
Ezekiel Kuhoga
OQP Community Network