Перейти к содержимому

Tundu Lissu atoa ushahidi mahakamani. Katika Dira ya Dunia TV

BBC News Swahili

0:00 / 0:00

Tundu Lissu atoa ushahidi mahakamani. Katika Dira ya Dunia TV

41 267 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
BBC News Swahili
988 тыс. подписчиков
41 267 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
Hii leo mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, ameendelea kutoa ushahidi wake, akieleza kwa kina historia ya mfumo wa uchaguzi na sababu za msimamo wa chama wa “No Reform, No Election.” Lakini upande wa mashtaka unasema kauli hizo zilikuwa na nia ya kuhamasisha umma kuzuia uchaguzi wa mwaka 2025. Je, ni nini hasa ambacho Lissu ameeleza mahakamani leo, na hoja yake ni ipi kuhusu madai ya upande wa mashtaka? Elizabeth Kazibure na taarifa zaidi. #TunduLissu #Chadema #CCM #Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili