"SIJAWAHI KUPATA HATA MIA COSOTA - NIMEAJIRI WAZUNGU!" - AJIBU ISHU YA KULELEWA NA MKE MZUNGU...
Global TV Online
0:00 / 0:00
"SIJAWAHI KUPATA HATA MIA COSOTA - NIMEAJIRI WAZUNGU!" - AJIBU ISHU YA KULELEWA NA MKE MZUNGU...
1 469 просмотров · 4 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
1 469 просмотров · 4 ч назад
"SIJAWAHI KUPATA HATA MIA COSOTA - NIMEAJIRI WAZUNGU!" - AJIBU ISHU YA KULELEWA NA MKE MZUNGU...
Mkali wa Bongo Flava, Hussein Machozi, afunguka kwa kina kuhusu madai ya kulelewa nchini Italia, jinsi anavyoendesha maisha yake ya sasa nje ya nchi, na kuajiri wazungu. Pia agusia changamoto ya mirabaha ya COSOTA na safari yake kwenye maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Flava.
00:00 - Ushiriki wa Hussein Machozi kwenye Miaka 30 ya Bongo Flava
02:20 - Kero ya mirabaha na COSOTA
04:10 - Sababu za kuondoka Tanzania na kwenda kuishi Italia
05:25 - "Nimeajiri wazungu na nina kampuni"
08:10 - Jibu kuhusu tetesi za kulelewa na mke mzungu
11:15 - Mtazamo wake kuhusu wasanii wa sasa na game ya Bongo Flava
#HusseinMachozi #GlobalTVOnline #BongoFlava #Miaka30YaBongoFlava #BongoMusic
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com