Перейти к содержимому

Israel Mbonyi - Uwe Hai

Israel Mbonyi

0:00 / 0:00

Israel Mbonyi - Uwe Hai

2 881 686 просмотров · 1 год назад
Israel Mbonyi
2,4 млн подписчиков
2 881 686 просмотров · 1 год назад
stream : https://bfan.link/uwe-hai Keep up with Israel Mbonyi at https://Imbonyi.com   / israelmbonyi     / imbonyi     / israembonyi     / israelmbonyi   Contacts : Informations : Info@Imbonyi.com Bookings : Booking@Imbonyi.com UWE HAI Verse Mbali ninayatupa hayo yote yakushirakiyo Maana Mii Ni Mwenyezi Mungu, Usinzie nakufunika Tena Mimi Niko Naweza kukutunza kwa Neno la Kinywani mwangu Na utayalalia haya Maneno Kisha na mkono wangu utakandamiza malengo ya wabaya Maana Mimi Niko Nitakulinda kwa gongo la Upendo wangu Uwe hai, natamka, uwe hai. Chorus : Uwe hai, eweee Uwe hai Uwe hai, eweee Uwe hai Wee mifupa ilio kauka , Ewe uwe hai Wee mifupa mikavu ewe uwe hai Akanitazama kwa utele wa upendo wake, Eti uwe hai Akanitazama, kwa utele wa Rehema Zake, Eti uwe hai. Bridge : Uko na alama ya damu yake mpenzi We ni wangu mi wako ooh Hayo ninayasema. ©12stonesRecord