Перейти к содержимому

MBATIA AFICHUA MAZITO TUKIO LA PADRI KITIMA

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

MBATIA AFICHUA MAZITO TUKIO LA PADRI KITIMA

12 506 просмотров · 1 г. назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
12 506 просмотров · 1 г. назад
MBATIA AFICHUA MAZITO TUKIO LA PADRI KITIMA #HABARI: Mwanasiasa mkongwe nchini James Mbatia, amevunja ukimya kuhusu tukio la kushambuliwa kwa Padri Charles Kitima, ambaye ameelezea pia ni baba yake mlezi wa kiroho ambapo amesema kuwa tukio hilo lililenga waziwazi kuondoa uhai wa padri huyo. Akizungumza na vyombo vya habari leo Mei Mosi, 2025, Mbatia amesema watu waliomvamia Padri Kitima walifanya hivyo kwa makusudi na kwa kutumia nguvu kubwa, huku wakilenga maeneo nyeti ya kichwani.